Kanisa la Life In Christ Kingdom Kenya likishirikiana na Idhaa ya Fruitful Media kutoka Alabama Marekani wanafahari kuwaletea Tamasha la Vipaji /Talanta kwa Vijana .
Kauli mbiu ya Mwaka huu inatoka katika kitabu cha Wafilipi 4:13
‘Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu ‘
Tamasha litaandaliwa katika kanisa la LICK Kimaeti ,kaunti ya Bungoma nchini KENYA.
Tarehe : 28 Desemba 2019 hadi tarehe 2 Januari 2020.
Ndungu Dylan Terrence Mathews atakuwa akielekea Kenya Desemba hii kuwa Mnenaji mkuu katika Tamasha hii.Tumefurahi kwa nafasi hii kushirikiana pamoja na LICK kuleta utofauti miongoni mwa vijana nchini Kenya and maeneo hayo.Tamasha la vipaji kwa vijana ni moja wapo ya mambo mengi ambayo Idhaa ya Fruitful Media itashiriki .Twaamini kuwa fursa hii itainua hadhi ya vijana nchini Kenya katika hali yao kumtumikia Mungu.
Dylan anatazamia kukutana na Askofu Isaac Wanyama Siundu na Mratibu wa Maswala ya Vijana katika hudumua wa LICK Moses Kadenge kwa mandalizi ya mwisho mwanzoni mwa mwezi wa Desemba.
Kwa kudhamini au kufadhili kongamano hili unaombwa kutuma msaada wako kwa kuijaza Fomu ya ufadhili .Aidha unaweza wasiliana naye Dylan Terrence Mathews ilikududhuria au kushiriki baraka hizi kwa barua pepe ukitumia anuwani hii [email protected].
Fomu ya Kufadili hii hapa.